Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani, Khanifa Karamagi akisalimiana na Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Innocent Mungy wakati yeye na ujumbe wake walipotembelea ofisi ya Mkuu huyo wa Wilaya kabla ya kuanza kwa semina ya wadau wa mawasiliano Wilayano humo leo.
0 comments:
Post a Comment