Meneja wa Kiwanda cha Kutengeneza Kimea cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Vitus Mhusi akielezea jana kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) sehemi inayotumika kuongoza mitambo ya kutengeneza kimea kwa kutumia zao la shayiri iliyopo eneo la Pasua, mjini Moshi, Kilimanjaro.
Meneja wa Kiwanda cha Kutengeneza Kimea cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Vitus Mhusi akiwaonesha baadhi ya waandishi wa habari, jinsi shayiri inavyoloweshwa tayari kutengeneza kimea cha bia katika mitambo iliyopo eneo la Pasua, mjini Moshi, Kilimanjaro. Kulia ni Pantaleo Temba Mwendesha mitambo mwanadamizi wa kiwanda hicho.
Fundi wa Maabara ya Kiwanda cha Kutengeneza Kimea cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Antony Mlay akiwa katika mashine ya kupima ubora wa upishi wa kimea jana katika maabara ya kiwanda hicho kilichopo eneo la eneo la Pasua, mjini Moshi, Kilimanjaro.
Meneja wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kaskazini Mashariki, Kasiro Msangi (kushoto), akimkabidhi Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi, Dk.Emmanuel Meagie msaada wa magodoro 100 na vyandarua 100 vyenye thamani ya sh. mil. 6.Hafla hiyo ilifanyika katika hospitali hiyo mjini Moshi mwishoni mwa mwezi uliopita.
0 comments:
Post a Comment