Kufuatia kero kubwa ya maji katika Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha Kipera Kata ya Mlali Wilayani Mvomero, Morogoro wasichana wadogo kama hawa hulazimika kwenda Mlali au hata Mzumbe kutafuta maji safi ya kunywa kufuatia kijiji hicho kukosa kabisa maji ya bomba licha ya jitihadaa za wadu kama Vodacom kuchimba kisima kimoja kitongojini hapo.
Barabara ya vumbi inayounganisha Kitongoji cha Kinyenze na Makao Makuu ya Kijii cha Kipera. Barabara hii nayo inahitaji ukarabati mkubwa kwani kipindi cha mvua hupitika kwa tabu.
Watu wazima nao kama huyu hutafuta maji kwaajili ya familia na wakati mwingine kuyauza ili kuongeza kipatop cha familia.
0 comments:
Post a Comment