Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Ujumbe wa Waandishi wa Habari kutoka India , Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 29,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na kiongozi wa Ujumbe wa Waandishi wa Habari kutoka India , Bibi Indrani Begchi, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 29,2011. Kushoto ni Balozi wa India , K. V. Bhagirath
0 comments:
Post a Comment