Nafasi Ya Matangazo

February 01, 2011

 Rais Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal alipowasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam leo, alipokuwa akitokea Nchini Addis Ababa Ethiopia  alipohudhuria kikao cha Marais na Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) kilichomalizika jana Nchini humo. kushoto Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda.
Rais Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilala kulia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam leo akitokea Nchini Addis Ababa Ethiopia alikohudhuria kikao cha Marais na Viongozi wa Umoja wa Afrika (AU) kilichomalizika jana.
Posted by MROKI On Tuesday, February 01, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo