Nafasi Ya Matangazo

February 18, 2011

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mke wake Mama Salma Kikwete alipotembelea hospitali ya manispaa ya wilaya ya Temeke kuwapa pole majeruhi wa mabomu yaliyotokea Gongo la mboto Jijini Dar es salaam 17.2.2011

Rais Jakaya Kikwete akimulisha chakula mtoto Sarafina Idd miaka mitatu (3) Mkazi wa Gongo la Mboto kituo kipya alipowatembelea majeruhi wa Mabomu waliolazwa Hospitali ya manispaa ya Wilaya ya Ilala jJijini Dar es salaam
Rais Jakaya Kikwete Akiwafariji na kuwapa pole mtoto Aisha Omary miaka minne (4) na Mama yake Ester Kilochi wakazi wa Gongo la mboto Moshi bar wakiwa wamelazwa Hospitali ya wilaya ya Ilala Dar es salaam 17.2.2011
Posted by MROKI On Friday, February 18, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo