Nafasi Ya Matangazo

January 13, 2011

 Uwanja wa ndege Shinyanga unavyoonekana katika jengo kuu la mapokezi na sehemu ya barabara zake. Licha ya mkoa huo kuwa na utajiri wa madini lakini Serikali bado haijafikia uamuzi wa kuboresha barabara za kurukia ndege kwa kiwango cha lami uwanjani hapo.
 Uwanja wa Ndege Mwanza. Uwanja huu wenyewe kidogo unalami na kufanya ndege za aina nyingi zenye ukubwa wa kati kutua hapa.
 Hii ni njia ya ndege ya Mwanza, Uwanja wa Shinyanga nao unastahili kufanyiwa ukarabati na kufikia kiwango hiki.
Uwanja wa Ndege Mwanza.
Posted by MROKI On Thursday, January 13, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo