Nafasi Ya Matangazo

January 13, 2011

Leo tarehe ya kuzaliwa Blogger. Ahmad Michuzi, na hapa akijipongeza kwa kaushindi ka jana ka 2-0 dhidi ya watani wa jadi ambao walimpa zawadi yake. Blogu hii inakupa Pongezi na kukutakia baraka tele na Mungu akujalie Hekima na Busara zaidi katika siku za maisha yako lakini pia akukumbuke mwaka huu walau ikifika mwezi Mtukufu wa Ramadhani upate wakukupikia futari.
Posted by MROKI On Thursday, January 13, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo