Nafasi Ya Matangazo

November 19, 2010

 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua ujenzi  wa Chuo Cha Serikali za Mitaa cha Hombolo wakati alipokitembela Novemba 18, 2010 . Kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Maimuna Tarishi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu ujenzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo kutoka Mkurugenzi Mkuu wa LAPF inayogharimia ujenzi huo, Eliud Sanga wakati alipokitembelea Chuo hicho Novemnba 18, 2010.
Posted by MROKI On Friday, November 19, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo