Nafasi Ya Matangazo

November 15, 2010


NYUMBA INAPANGISHWA
Nyumba inapangishwa. Ina vyumba vitatu vya kulala, master bedroom, sebule, dining room na jiko la kisasa. Ina umeme na maji. Pia ina eneo la ndani kubwa lenye uzio wa matofali.

Ipo Mbezi Makabe, maeneo ya Mbezi Louis DSM karibu sana na barabarani na huduma za jamii zinapatikana kama vile maduka, hospitali na shule.
 
Nyumba ni mpya na ipo kwenye mazingira mazuri sana.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0754464788.
Posted by MROKI On Monday, November 15, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo