Nafasi Ya Matangazo

November 23, 2010

 Msanii wa nyimbo za bongo fleva Ally Kiba (katikati) akizumngumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na safari yake ya nchini Marekani kwenda kurekodi mziki na wasanii wengine nane wa Afrika pamoja na Robbert Kelly "R Kelly". Kulia ni Meneja wa Chapa na Mawasiliano wa Kampuni ya simu za Mkononi ya airtel, Calvin Twissa na Mwakilishi wa Rock Stars Afrika Mashariki, Christina Mosha "7".
 Kiba akifafanbua jambo kwa waandishi wa habari jijini leo
 Kulia ni Meneja wa Chapa na Mawasiliano wa Kampuni ya simu za Mkononi ya airtel, Calvin Twissa akifafanua jambo juu ya udhamini wa project hiyo ambayo inalenga kutoa msaada kwa shule za msingi Tanzania.
 Alli Kiba akiwa na wanafunzi waliowawakilisha wenzao kutoka shule ya Msingi Kiromo Bagamoyo, ambao shule yao inafaidika na mradi huo wa One8.
Baadhi ya wasanii waliohudhuria mkutanbo huo na ambao wapo chini ya mpango wa Rock Star.
Posted by MROKI On Tuesday, November 23, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo