Jamaa akijishika kiuno kutafakari biashara aianze vipi ya kuuza vitenga vya maua huko Mbagala.
Alipata jibu na kuamua kuvinyanua...
Ah! mzigo ni mzito lakini ngoja niondoke tu hapa maana muuza magazeti ameamua kuniambia naweka kiwingu.
Ngoja nikaanzie kuleeeeeeeee...
Hii ilikuwa juzi Maeneo ya Mbagala jijini Dar es Salaam.




0 comments:
Post a Comment