Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazigira Bw Richad Muyungi akifunguwa Mkutano Ulioitishwa na jumuia ya Ulaya Kuona namna ya Tanzania inavyoweza Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi Kulia Balozo wa Jumuia ya Ulaya Bw Tim Clarke na Mchumi Muandamizi Wizara ya Fedha Bw Sadiki Magwaya
Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Bw Richad Muyungi akizungumza jambo na Balozi wa Jumuia ya Ulaya Bw Tim Clarke Mara Baada ya Kufunguwa Mkutano wa Mabadiliko wa Tablanchi Uliofanyika Hotel ya Moving Pik Mjini Dar es Salaam.




0 comments:
Post a Comment