Nafasi Ya Matangazo

July 21, 2010

Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa akitoa hotuba jana Police Officers Mess Oysterbay Jijini Dares Salaam wakati wa semina ya siku moja iliyoandaliwa na Jeshi la Polisi kwa viongozi wa vyama vya siasa juu ya Umuhimu wa vyama vya siasa, Tume ya uchaguzi na Msajili wa vyama katika kudumisha amani, usalama na utulivu wakati wa uchaguzi mkuu. Mkutano kama huu ni wa kwanza kwa mkuu wa Jeshi la polisi kuwakutanisha viongozi wa vyama vya siasa tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi na ilifanyika katika ukumbi wa Police Officers Mess Oysterbay Jijini Dares Salaam.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Saidi Mwema (kulia) akitoa neon la shukrani kwa viongozi wa Vyama vya Siasa baada ya kumalizika kwa semina ya siku moja iliyoandaliwa na Jeshi la Polisi kwa viongozi wa vyama vya siasa juu ya Umuhimu wa vyama vya siasa, Tume ya uchaguzi na Msajili wa vyama katika kudumisha amani, usalama na utulivu wakati wa uchaguzi mkuu. Mkutano kama huu ni wa kwanza kwa mkuu wa Jeshi la polisi kuwakutanisha viongozi wa vyama vya siasa tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi na ilifanyika katika ukumbi wa Police Officers Mess Oysterbay jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Msajili wa Vyama Vya Siasa, John Tendwa na Kulia ni Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai Kamishna Robert Manumba.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Saidi Mwema akisalimiana na mgombea uraisi wa CHADEMA, Wilbroad Slaa baada ya ufunguzi wa semina ya siku moja iliyoandaliwa na Jeshi la Polisi kwa viongozi wa vyama vya siasa juu ya Umuhimu wa vyama vya siasa, Tume ya uchaguzi na Msajili wa vyama katika kudumisha amani, usalama na utulivu wakati wa uchaguzi mkuu. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Saidi Mwema akisalimiana na viongozi wa Vyama vya siasa baada ya ufunguzi wa semina ya siku moja iliyoandaliwa na Jeshi la Polisi kwa viongozi wa vyama vya siasa juu ya Umuhimu wa vyama vya siasa, Tume ya uchaguzi na Msajili wa vyama katika kudumisha amani, usalama na utulivu wakati wa uchaguzi mkuu.
Posted by MROKI On Wednesday, July 21, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo