Vijana wa kazi wakiandaa viotu tayari kwa kuvipitisha mtaani. Hapa ni Pweza (Mtabiri) Ngisi na Dagaa kamba a.k.a pronsi. Mama akipanga samaki wake eneo la Feri Dar es Salaam leo.
Hawa ni Ngisi wadogo waliokaangwa.
Hapa unakutana na Mtabiri wa kombe la dunia PWEZA huyu na NGISI wanasifika sana kwa kutia mwili joto. Hawa ni Dagaa Kamba au PRONSI ni miongoni mwa vyakula vya bahari vitamu sana.
Weweeeeee Fadhaaaaa sasa unawuwa, uuuuuwi, hii kibodi hapa imejaa udenda tu, kosa lako Mroki!
ReplyDeleteDoh, asante sana kwa kuposti picha hizi.
Shukran mkuu!