Miss Vyuo Vya Elimu ya Juu 2010 Flora Martin akipunga mkono baada ya kutawazwa kuwa malkia wa Kanda hiyo katika shindano la Miss Tanzania ambalo linataraji kufanyika baade mwaka huu Dar er Salaam.
Flora Martin akiwa na washindi wengine wa nafasi ya pili Rachel Lidbard (kushoto) na mshindi wa tatu Pendo Jam.
Warembo wa Temeke walifika nao kushuhudia ni msomi gani wataingia nae katika fainali za Miss Tanzania mwaka huu. TBC hawakucheza mbali hapa ni Mwandishi wake Pendael Omar akimhoji Malkia huyo baada ya ushindi.
Ilikuwa ni shgwe kwa mashabiki wake kutoka Chuo cha IFM walifika kushuhudia mtanange huo.
Ni pozi za vazi la ufukweni.
Flora Martin alipotupa karata yake na vazi la kuogelea wakati wa kutafuta point za ushindi.
Huyu nae alionesha staili yake.
Mshindi wa tatu Pendo Jam aliyeiwakilisha vyema vyema Chuo cha Udom nae alipita.
ni ufukweni tu Wengine waliduwaa na mavazi hayo...
Bada ya kombe la dunia kumalizika sasa Vuvuzela yalihamia kwa warembo.
Nahawa kutoka IFM ilikuwa ni Vuvuzela tu mwanzo mwisho.
Hiyo picha ya 5 toka juu, huyo mbona hajamechisha huyo?
ReplyDeleteNYEUSI na BLUU wapi na wapi? Au kwa kuwa nyingine iko ndani?