Yaani Mroki hapo tu ndo ninapokupendea.Yaani hizo picha ya kwanza na ya pili toka juu umenifikisha hasa.Haya ndio mambo tunayoyataka bwana. Kwa hapa Michuzi na Michuzi Jun ya-Dogo wala hawajakufikia hata robo.Lete vitu mwanangu! Mwenzenu me humu ndio nitakamokufia humu.Mroki UDUMU!
Yaani Mroki hapo tu ndo ninapokupendea.
ReplyDeleteYaani hizo picha ya kwanza na ya pili toka juu umenifikisha hasa.
Haya ndio mambo tunayoyataka bwana. Kwa hapa Michuzi na Michuzi Jun ya-Dogo wala hawajakufikia hata robo.
Lete vitu mwanangu! Mwenzenu me humu ndio nitakamokufia humu.
Mroki UDUMU!