Mshindi wa Miss Kanda ya kati Beatrice Singh akiwa na wenzake waliomfuatia Wilani Etami (kushoto) na Pili issa baada ya kutangazwa matokeo ya ushindani huo.
Naibu waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo, Joel Bendera akimkabidhi kitita cha Sh 1millioni mshindi wa Miss Kanda ya kati, Beatrice Singh mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano lililofanyika mjini Dodoma juzi.
0 comments:
Post a Comment