Nafasi Ya Matangazo

June 26, 2010

Meneja Udhamini na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza akiwakaribisha warembo katika kitengo cha masoko cha kampuni hiyo wakati warembo hao wanaoshiriki shindano la Miss Ilala walipotembelea katika makao makuu ya kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania jengo la PPF Tower jijini Dar es salaam jana jioni, leo ndiyo warembo hao watapanda jukwaani kuchuana wakiwania taji la Miss Ilala 2010 kwenye shindano litakalofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza katika picha wa nne ni mtaalam wa habari Vodacom Tanzania Matina Nkurlu.

Warembo hawa leo wanapanda jukwaani katika ukumbi wa Mlimani City kutafuta Miss Ilala 2010.

Posted by MROKI On Saturday, June 26, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo