Rais Jakaya Kikwete akizungumza katika mkutano wa pamoja Wakuu wan chi wa Afrika juu ya Malaria na waandishi wa habari Dar es Salaam juzi aktika ukumbi wa Mlimani City ambako mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika. Kulia ni Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulika na Malaria.Dola za kimarekani Milioni 100 ziliidhinishwa na wakuu hao wa nchi kwaajili ya vita dhidi ya Malaria.
May 06, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment