Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe.
Uteuzi huo uliofanywa na Mheshimiwa Waziri unaanza tarehe 22 Februari, 2010.
Pamoja na uteuzi huo Mheshimiwa Waziri Chikawe amewatakia wajumbe hao mafanikio katika utekelezaji wa majukumu yao katika Bodi ya Baraza la Wakurugenzi wa RITA.
RITA ni Wakala wa Serikali ulioanzishwa mwaka 1997 chini ya Wizara ya Katiba na Sheria. Wakala huu ulianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Wakala wa Serikali, Sura ya 245 kwa lengo la kutoa huduma mbalimbali zikiwemo usajili wa Vizazi na Vifo, Usajili wa Ndoa na Talaka.
Kazi nyingine za RITA ni pamoja na kusimamia mirathi, kutoa leseni za kufungisha ndoa kwa viongozi wa dini kama Mapadre, Wachungaji na Mashehe pamoja na kufanya shughuli za ufilisi pamoja na kuandika na kutunza wosia.
Jumatano, Aprili 15, 2010
Imetolewa na:-
Oliver P.J Mhaiki,
Katibu Mkuu,
Wizara ya Katiba na Sheria
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WAZIRI CHIKAWE ATEUA WAJUMBE BODI YA RITA
Waziri wa Katiba na Sheria Mheshimiwa Mathias M. Chikawe (MB) amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe watano wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA).
Katika uteuzi huo uliofanywa na Mheshimiwa Waziri kwa mujibu wa Kifungu cha 6 (4) cha Sheria ya Wakala wa Serikali, Sura ya 245, Mwenyekiti wa Bodi hiyo anakuwa

Bw. Vicent Mrisho.
Kabla ya uteuzi huo, Bw. Mrisho aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali kabla ya kustaafu mwaka 2008 akiwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu.
Wajumbe wa Bodi walioteuliwa ni pamoja
Wajumbe wa Bodi walioteuliwa ni pamoja
Bi. Sifa Swai,
Bw. John J. Kyaruzi
Bw. Magnus P. Ulungi.
Bw. August B. Kowero
Bi. Susan B. Mkapa.
Bi. Salome Mollel.
Mollel, Mkurugenzi wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu, Wizara ya Katiba na Sheria ambaye anaingia kama Mwakilishi wa Wizara katika Bodi hiyo.
Uteuzi huo uliofanywa na Mheshimiwa Waziri unaanza tarehe 22 Februari, 2010.
Pamoja na uteuzi huo Mheshimiwa Waziri Chikawe amewatakia wajumbe hao mafanikio katika utekelezaji wa majukumu yao katika Bodi ya Baraza la Wakurugenzi wa RITA.
RITA ni Wakala wa Serikali ulioanzishwa mwaka 1997 chini ya Wizara ya Katiba na Sheria. Wakala huu ulianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Wakala wa Serikali, Sura ya 245 kwa lengo la kutoa huduma mbalimbali zikiwemo usajili wa Vizazi na Vifo, Usajili wa Ndoa na Talaka.
Kazi nyingine za RITA ni pamoja na kusimamia mirathi, kutoa leseni za kufungisha ndoa kwa viongozi wa dini kama Mapadre, Wachungaji na Mashehe pamoja na kufanya shughuli za ufilisi pamoja na kuandika na kutunza wosia.
Jumatano, Aprili 15, 2010
Imetolewa na:-
Oliver P.J Mhaiki,
Katibu Mkuu,
Wizara ya Katiba na Sheria
0 comments:
Post a Comment