
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) Emmanuel Humba (katikati) akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja kwa wapigapicha za magazeti na wachora katuni iliyofanyika Dar ers Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa wanachama na Uendeshaji wa NHIF, Hamisi Mdee na Mwenyekiti wa Chama cha Wachora Katuni Tanzania (Pact) Nathan Mpangala.

Washiriki wakifuatilia mada, hawa ni wachora katuni.

Wapigapicha wakifuatilia mada.

Washiriki wa kifuatilia mada katika semina hiyo. Hawa ni wapiga picha tupu Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa PPAT- Mroki Mroki, Yusuf Badi Seleman Mpochi, Emmanuel Kwitema na Anna Utenda.

Mwenyekiti wa Cahama cha Wachora Katuni Tanzania (PACT) Nathan Mpangala akifanya vitu vyake wakati semina ikiendelea.

Hahahahaa Mpoki Bukuku anawaza nini hapa...Mungu anajua. Anaemfuata ni Emmanuel Herman, Omary Fungo na King Kinya.

Kikosi kazi cha Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) ambao walikuwa na Mpango Mzima.

King Kinya (Mfalme K) akifanya makeke huku Omary Fungo na Albert Jackson wakichungulia.
0 comments:
Post a Comment