Nafasi Ya Matangazo

April 14, 2010

MCHUNGAJI TUMAINI KALLAGHE, VIONGOZI NA WAUMINI WA IMANI MISSION CONGREGATION (LUTHERAN) WAKISHIRIKIANA NA CITE - READING WANACHUKUA NAFASI HII KUWAKARIBISHA WATU WOTE JUMAPILI TAREHE 25/04/2010 KWENYE IBADA ITAKAYOHUBIRIWA NA
EV. DANIEL KULOLA
KUTOKA TANZANIA
Wagonjwa na wenye shida mbali mbali wataombewa.
Mkaribishe na mwingine

IBADA ITAFANYIKA
ODD FELLOWS HALL
118b OXFORD ROAD
READING
RG1 7NQ

KUANZIA SAA 8.00 MCHANA (14.00PM)
“Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, …… Neno la Bwana likaenea katika nchi ile yote” Matendo:13:47 - 49

Ukishuka stesheni chukua basi nos: 16 or 15
kisha ushuke Waylene bus stop Oxford Road

For information:
mchungaji@stanneslutheranchurch.org

Mchungaji: Tel.07983087998/Aljanes Rwiza (Baba Ian)-
07900008211/ Davis Banduka 07908010344
Posted by MROKI On Wednesday, April 14, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo