Nafasi Ya Matangazo

March 13, 2010

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Kiongozi Zanzibar Hamza Hassani Juma akimsikiliza Mgurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Goodluck Ole Medeye Wakati wa ziara ya Kutembelea Taasisi zinazoshughulikia Masuala ya Muungano jana. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano, Eliza Beth na Kaimu Mkurugenzi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Baraka Rajabu Mara Baada ya Kutembelea Mamlika hiyo Dar es Salaam leo.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano Mohammed Seif Khatib (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Kiongozi Hamza Hassan Juma (wapili kulia) Wakimsikiliza Mkurugenzi wa Utafutaji Uzalishaji Kitalamu na Uchimbaji wa Mafuta kwenye kituwa cha(TPDC)Upanga Halfani Halfani Wakati walipokuwa na Ziara ya Kutembelea Ofisi za Muungano Mjini Dar es Salaam leo
Posted by MROKI On Saturday, March 13, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo