Nafasi Ya Matangazo

March 13, 2010

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Milioni kumi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha mahusiano wa benki ya NMB, Shy-Rose Bhanji kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu kishiriki cha Josiah Kibira (JOKUCO) kinachotarajiwa kuanzishwa mwishoni mwa mwaka huu mkoani Kagera. Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam, juzi.
Posted by MROKI On Saturday, March 13, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo