
Kikosi cha kwanza cha Simba kilicho waadhibu goli 2-1 timu ya Azam Fc zote za Dar es Salaam katika mchezo wa Ligu Kuu ya Soka tanzaniana bara uliochezwa katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na wekundu hao kutangaza ubingwa wa ligi hiyo.

Kocha Patrick Phiri akitoa maelekezo kwa wachezaji...

Mashabiki na kombe lao...

Wana Msimbazi uwanjani...

Mbunge wa Ilala aliamua kuvalia Kivietenam na kutinga uwanjani hapo... ni Azzan Zungu.

....hahaha ushabiki kazi na unatakiwa kujitoa mhanga kama huyu ambaye raha ilimkolea na kuamua kuchojoa viwalo vyake aoneshe redcapeti yake.

Kocha wa Simba Patrick Phiri akiwa na kombe la bandia la mashabiki baada ya kumalizika kwa mchezo.

Mashabiki wakipiga picha na Kocha Mkuu wa Simba.

Mabingwa wakitoa salamu kabla ya mechi kuanza.

Benchi la ufundi la Simba.

Wachezaji wa akiba wa Simba.
0 comments:
Post a Comment