Mdau ameniandikia ujumbe huu naomba kuuwasilisha kwenu kama ulivyo.
“Mkubwa kuna kitu kimoja kinanisumbua sana kichwa, ni kuhusu hizi website za Serikali mbona aibu?? Nyingi zipo down, nyingine design ovyo na kushangaza zaidi ni hii web ya Tanzania Investment Centre ipo down kwa muda sasa, Serikali na Wizara zake wanadhani watapata wapi Investors wakati inaonesha technology ipo down ktk issue ndogo kama hii! bora ingekuwa ni tovuti ya binafsi lakini sio serikali.
Mfano, nipo ktk research na nashindwa kuifanya kutokana na website ya tic.co.tz ipo down! Utawala upo wapi????”
Mdau alimaliza hivyo na kusema ni aibu sana kwa tovuti hizi kutokufanya kzi ipasavyo.

0 comments:
Post a Comment