
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Walimu wakuu wa shule za Msingi za Kata ya Vwawa wilayani Mbozi ambao walitembelea Bunge Mjini Dodoma Februari 4, 2009. Walimu hao wa lialikwa na Mbunge wao wa Jimbo la Mbozi Mashariki, Godfrey Zambi. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Cynthia Hilda Ngoye.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Walimu wakuu wa shule za Msingi za Kata ya Vwawa wilayani Mbozi ambao walitembelea Bunge Mjini Dodoma Februari 4, 2009. Walimu hao walialikwa na Mbunge wao wa Jimbo la Mbozi Mashariki, Godfrey Zambi.
father kidevu hao walimu wamealikwa bungeni kufanya nini aah jamani msitumie pesa za wanyonge vibaya namna hivyo
ReplyDelete