Nafasi Ya Matangazo

February 10, 2010


Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoani Singida Mathar Mlata akizungumza katika mkutano wa hadhra alipokabidhi pikipiki kwa Jumuia ya wazazi Mkoani humo.


Baadhi ya wanafunzi wa mkoani Singida wakimsikiliza Mbunge Matha Mlata.


Moja ya pikipiki zilizogaiwa na Mbunge Matha Mlata ikijaribiwa.
Posted by MROKI On Wednesday, February 10, 2010 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo