Nafasi Ya Matangazo

February 07, 2010

Polisi usalama barabarani akichukua maelezeo ya madereva wa magari dark blue (kushoto) na Jeupe (katikati) waliogongana jana katika njia panda ya Kuingilia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Dar es Salaam nma kusababisha uharibufu wa magari yao.
Wananchi wakiangalia gari pamoja na dereva wake.
Gari likiwa limeharibika vibaya baad ya kugongana na gari jingine.
Posted by MROKI On Sunday, February 07, 2010 2 comments

2 comments:

  1. OOohhhh jamani huyu binti miye namfahamu tuliskuli naye pale Chuo kikuu mlimani yeye alikuwa Econimics baadaye akaondoka zake akaenda majuu kama sikosei alikwenda Uingereza oooh Pole saana Sikudhani Mayalla, aisee kwelia jali haina kinga.

    ReplyDelete
  2. mmm huyo sister gari lake lilogongwa hicho ni kikwapa cha jasho ama duu hatari hapo ana drive hivyo je akitembee kwa miguu amu kutumia daladala ambalo halana AC si hatari sana

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo