Nafasi Ya Matangazo

November 03, 2009

Veronica Mheta akiwa katika Sherehe yake ya kufundwa kabla ya ndoa yake Novemba 1 2009 Dar es Salaam. Vero na mpambe wake wakiingia ukumbini.
wakikata keki
Pozi kidogo...
Mama Mdogo wa Vero akifurahia jambo...Veronica ni Mwandishi wa habari kitaaluma na anaandikia Gazeti la HabariLeo. Novemba 4 anafanyiwa sherehe ya kuagwa rasmi katika familia.
Posted by MROKI On Tuesday, November 03, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo