Nafasi Ya Matangazo

November 06, 2009

Mimi ni Mwana CCM halali-MENGIMwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Amran Mengi ameuambia uma kuwa yeye ni mwanchama hai na halali wa Chama cha Mapinduzi CCM tangu mwaka 77 mwezi Aprili na kadi yake ni namba B 124595 .
Mengi ameamua kutabanaisha hayo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Novemba 6 2009 kufuatia shutuma dhidi yake kuwa si mwanachama wa CCM.
Posted by MROKI On Friday, November 06, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo