Nafasi Ya Matangazo

November 05, 2009

Mwili wa Marehemu Ng'itu ukisubiri kufanyiwa ibada. Paroko akiongoza Misa ya Kumuaga Marehemu Sigfred Ng'intu aliyekuwa Mbunge wa Ruangwa mkoani Lindi na aliyefariki hivi karibuni kwa kuugua ugonjwa wa Kiharusi.
Mmoja wa watoto wa marehemu nawakilisha watoto wote hapa bloguni kutoa heshima kwa kipenzi baba yao...
Mjane wa Marehemu nae alitoa heshima kwa mwili wa Marehemu Mumewe...

Gloria Tesha wa Habarileo hapa anawakilisha Waandishi wa Habari walitoa heshima za mwisho kwa rafiki yao.
Majirani na marafiki wa familia ya Ng'itu nao walitoa heshima...
Wabunge nao walikuwepo kumuaga mwenzao, pichani ni Mbunge wa Kigamboni Mh. Mwinchumu ambaye anawakilisha wabunge wote.
Meya wa Jiji la Dar es Salaam Alhaj Adam Kimbisa, hapa anawawakilisha Madiwani wote wa Dar es Salaam
Mke wa rais Mstaafu Anna Mkapa alikuwepo kutoa heshima kwa Marehemu Mbunge wa Ruangwa.
Wananchi waliohudhuria Misa ya kumuaga Marehemu
Waliokosa nafasi ndani walisimama nje...
Wananchi wakibeba sanduku lililouhifadhi mwili wa Ng'itu baada ya kumuaga.
Posted by MROKI On Thursday, November 05, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo