Nafasi Ya Matangazo

November 04, 2009

Biharusi mtarajiwa .Jullieth Seven Kiberiti akikata Keki wakati wa sherehe ya kuagwa kwake kabla ya kufunga ndoa jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Bwana na Bibi Seven Kiberiti wakiwa katika picha ya pamoja na mtoto wao Jullieth Kiberiti wakati wa tafrija ya kumuaga binti yao aliyetaraji kuolewa jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Julieth akiwaaga wageni waalikwa baada ya kumaliza tafrija ya kumuga.
Posted by MROKI On Wednesday, November 04, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo