
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Fredrick Warema akiapa kwa staili yake Bungeni mjini Dodoma bila ya kunyanyua kitabu chochote cha dini au Katiba au tu kunyoosha mkono jana. Biblia ipo kando.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bwana Warema akipongezwa na Familia yake baada ya kutoka Bungeni Dodoma jana alipo apishwa na kikatiba sasa ni Mbunge. Kulia ni Binti yake Bhoke Warema na Mkewe Blandina Warema.
0 comments:
Post a Comment