Nafasi Ya Matangazo

October 29, 2009

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo akitangaza uamuzi wa kugawa samaki aina ya Jodari waliokatwa katika eneo la bahari la kina kirefu wakifuliwa na maharamia. Samaki hao zaidi ya tani 296 kugawiwa katika taasisi za elimu ambazo hutoa huduma ya chakula na wametakiwa kuomba kwa katibu Mkuu. Kulia ni Naibu waziri wake Dk. James Wanyancha.
Posted by MROKI On Thursday, October 29, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo