wakazi wa Mtoni kwa Azizi Ali wakiangalia daladala lililoacha nchia na kuingia katika sehemu ya kuuzia miti ya ujenzi wakati dereva wake akikimbia kukamatwa baada ya kugonga mtu.
Mama ambaye aligongwa katika eneo la Mtongani na gari hilo hapo juu kukimbia kabla ya kupata ajali nyingine Kwa Azizi Ali.Mam huyu alivunjika mguu na kupelekwa Hospitali ya Temeke kwa matibabu.

0 comments:
Post a Comment