Nafasi Ya Matangazo

August 24, 2009

wafanyakazi wa TAZARA leo walikuwa katika mgomo baridi kwa kile walichodai ni kutafakari matokeo ya kikao cha baraza la wafanyakazi lililoshindwa kutekeleza maombi yao zaidi ya 5 ya maslahi kazini.
-Nyongeza ya Mshahara itolewe bila masharti
-Malipo yaendane na soko la Dola (jamaa wanalipwa dola)
-Miaka ya Kustaafu iwe 60 badala ya 55 ya TAZARA
-Pensheni nayo iwe ya Hiari sio ya TAZARA.
-Mgawanyo sawa wa uongozi, Ofisi ya tanzania imejaa Wazambia wakati zambia hakuna watanzania.
-Mgawanyo wa kazi pia ueleweke.
Wafanyakazi hao wakiimba wimbo wa mshikamano kwa wafanyakazi.
Posted by MROKI On Monday, August 24, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo