Timu ya Taifa Taifa Stars leo Agosti 12 2009 imeilza timu ya taifa ya Rwanda Amavubi kwa goli 2-1 katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliopigwa huko Rwanda. Magoli ya Stars yalipachikwa na Rashid Gumbo na Jerry Tegete.
Kweli vijana wameipandisha chati Tz na itakwea kwenye lile daraja la FIFA, Safi sana! Hayo ndo mambo..twaja hivyo.! Vijana wanaendelea kupanda kiwango.
Saaaafi sana,
ReplyDeleteKweli vijana wameipandisha chati Tz na itakwea kwenye lile daraja la FIFA, Safi sana! Hayo ndo mambo..twaja hivyo.!
Vijana wanaendelea kupanda kiwango.