
The Executive Solutions Managing Director, Mr. Aggrey Marealle (kulia) akimkabidhi tiketi ya ndege ya kwenda nchini Ujerumani Mfanyakaiz wa kampuni hiyo, Ibrahim Kyaruzi kwenda kuripoti mashindano ya Riadha ya Dunia ambapo timu ya Taifa ya Riadha inashiriki nchini Ujerumani.
0 comments:
Post a Comment