Usajili Maalum kwa mtu maalum.

Mkurugenzi Masoko wa Vodacom Epraim Mafuru akimshawishi Father Kidevu kujisajili na huduma ya M Pesa pamoja na kufanya usajili wa namba yake ya simu.

Mafuru amefanikiwa na sasa anaanza kujaza fomu maalum ya M Pesa.

Kidevu akitia saini fomu hiyo ya usajili.

Kidevu akielekezwa namna ya kutumia huduma ya M Pesa.

Kidevu akifuata maelekezo ya matumizi ya M Pesa.

Baada ya kukabidhiwa hati yake ya M Pesa, alisubiri kupata ujumbe wa kusajiliwa.

Akiweka Fedha katika acount yake ya M Pesa ambapo sasa ataweza kununua muda wa maongezi kwa njia ya M Pesa na kutuma fedha kwa ndugu na jamaa.
0 comments:
Post a Comment