Mchezo wa ligi Kuu ya Vodacom kati Simba SC na Azam FC zote za Dar es salaam leo ulivunjika baada ya mvua kubwa kunyesha na uwanja wa Uhuru kujaa maji, wakati wa mapumziko na kulazimika washabiki kuingia uwanjani kutoa maji yaliotuama lakini mwamuzi wa mchezo huo kuumaliz huku simba tayari ikiwa mbele kwa goli 1-0.
March 29, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TANESCO wapo wapi? si ni waje kuvuna maji hapa au tatizo ni mitambo? visingizio haviishi.
ReplyDelete