Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge akiwaelezea maofisa wa Polisi namna ajali ilivyotokea wakati walipokwenda eneo la tukio Oysterbay Shule Dar es Salaam Machi 27 2009.
Andrew Chenge apata ajali na gari lake kugonga bajaji na kuua abbiria wawili ambao walikuwa ni wanawake alfajiri ya leo Oysterbay Shule Dar es Salaam.
Gari la Chenge lililopata ajali hiyo.
Bajaji iliyo husika katika tukio hilo.
Gari la Chenge lilikuwa na stika ya Bima iliyo pitwa na wakati kama inavyoonekana.
Binti wa Chenge akiwa na jamaa wa karibu Polisi leo na baadae alikwenda kubadili nguo na kurudi tena Oysterbay.
Binti wa Chenge baada ya kubadili nguo...
Ze Komedi Original nao hawakucheza mbali Masanja akiwa kituoni hapo maalum kwaajili ya kujua mavazi aliyo vaa Chenge kwaajili ya kuigiza tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment