Nafasi Ya Matangazo

March 31, 2009

Askari wa JWTZ ambao wanataraji kwenda Darfur kulinda amani.
Aliyekuwa katibu mkuu wa AU Dkt Salim Ahmed Salim akiongea na mnadhimu mkuu wa JWTZ Luteni Generali Abdulrahman Shimbo mara baada ya kuongea na maafisa wa jeshi la wananchi watakaoshiriki ulinzi wa amani katika jimbo la Darfur nchini Sudan leo katika kambi ya Jeshi iliyoko Msata ,Pwani. Wanajeshi hao wanatarajia kwenda nchini Sudani mwezi Aprili 2009.
Posted by MROKI On Tuesday, March 31, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo