Nafasi Ya Matangazo

January 12, 2009

Askari wa FFU wakipitisha magari baada ya njhia kufunguliwa
Wananchi wakiondoa mawe waliyoyaweka barabarani
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mwantumu Mahiza akishangiliwa na wananchi.
Mwantumu Mahiza akizungumza na wananchi ili waruhusu magari kupita
Gari la Naibu Waziri huyo lilipozuiowa hadi ashuke.
Lori lililogonga watu na kuparanmia nyumba na kusababisha wananchi kutaka kuwepo kwa matuta katika eneo hilo likichomolewa vifaa na wananchi hao.
Msururu wa magari kutoka mikoa ya Mashariki Dar es Salaam, Pwani na Morogoro iliyokwama kwa vurugu.
Moto wa matairi na kuni uliowasha kuzua magari kupita.
Mawe na magogo yakiwa katika barabara hiyo.
Posted by MROKI On Monday, January 12, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo