![](//3.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWypv18BvjI/AAAAAAAABbM/vULeWhCldTU/s400/1.JPG)
Kikosi cha TSN Spot Club kilichoizamisha Timu ya Shirika la Elimu Kibaha kwa magoli 3-2 wakati wa maadhimisho ya mika 39 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Elumu Kibaha Januari 10 katika uwanja wa Shirika.
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWypwt1kDII/AAAAAAAABbc/5EHrUxlSGXA/s400/3.JPG)
Mshauri wa Benchi la Ufundi la TSN Club Mroki Mroki " Father" akitoa ushauri kwa wachezaji wa tuimu ya TSN wakati wa mapumziko dhidi ya Timu ya Shirika la Elimu Kibaha Januari 10 2009.
![](//2.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWypw9A8XKI/AAAAAAAABbs/DAPGj8YTHsk/s400/5.JPG)
Wanachama na wachezaji wa TSN Club waliohudhuria maadhimisho ya 39 ya Shirika la Elimu Kibaha
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWypws28BVI/AAAAAAAABbk/fz0qyTQLduE/s400/4.JPG)
Timu ya Wavuta Kamba ya TSN Club ikichuana na Shirika la Elimu Kibaha
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWypwTV5L9I/AAAAAAAABbU/8YZm3Uzzl5U/s400/2.JPG)
Kikosi cha Shirika la Elimu Kibaha kilichochuana na TSN Spot Club
Nimepapitia kwako panapendeza BIG UP father.lakini huu mchezo wa WORD VERIFICATION ,unachosha sana naona ata blog zingine wameutoa ,tunakusubiri wewe.
ReplyDelete