![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWyh3_t7s7I/AAAAAAAABac/1RZ5As5xCzo/s400/1.JPG)
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa na Waziri wa Mambvo ya Ndani, Laurence Masha (kushoto) na IGP Said Mwema wakati alipokuwa akikagua na kuweka jiwe la msingi katika nyumba za Polisi Barabara ya Kilwa Dar es Salaam jana.
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWyg-Csmy5I/AAAAAAAABaU/eze4TX_Klxs/s400/3.JPG)
Mnara maalum ambako Rais Jakaya Kikwete aliweka jiwe la Msingi la Nyumba za Polisi Barabara ya Kilwa Dar es Salaam jana.
0 comments:
Post a Comment