Nafasi Ya Matangazo

January 15, 2009

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mkutano na Viongozi wa Juu wa Wizara ya Miundombini Ikulu Dar es Salaam jana. Katika mikutano hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein ilijadili masuala m,balimbali ya Bandari, Rwelwe na ATCL. Viongozi wa juu wa mashirika hayo walihudhuria kwa nyakati tofauti tofauti.
Posted by MROKI On Thursday, January 15, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo