![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWygEa0RfPI/AAAAAAAABaM/OG-WwQJ-bWo/s400/2.JPG)
Wakati hali ya upatikanaji wa mafuta ya petroli kuwa tete kwa vituo vingi Dar es Salaam jana, hali hiyo imekuwa tofauti kwa kituo cha Big Bon kuendelea na huduma hiyo kama inavyoonekana pichani kwa msururu huu wa magari na wanunuzi wakijipatia bidhaa hiyo.
0 comments:
Post a Comment