Nafasi Ya Matangazo

January 13, 2009

Mtuhumiwa katika kesi ya Richmond ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Richmond Tanzania, Naeem Adam Gera (kulia) akisindikizwa na askari wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuingia katika mahabusu ya mahakama hiyo Dar es Salaam, jana. Mtuhumiwa huyo alifikishwa katika Mahakam hiyo kujibu mashitaka yanayomkabili ambayo ni kuidanganya Serikali kwa kuwasilisha nyaraka za uongo kuwa kampuni yake inauwezo wa kuzalisha umeme.
Posted by MROKI On Tuesday, January 13, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo